Ticker

6/recent/ticker-posts

MITAWI ATEMBELEA BANDA LA MAONESHO LA TANZANIA KWENYE MKUTANO WA COP27 NCHINI MISRI


Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Bw. Abdallah Mitawi akizungumza na Prof. Amon Murwira Waziri wa Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia kutoka Zimbabwe mara baada kutembelea banda la maonesho la Tanzania katika Mkutano wa 27 wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unaoendelea Sharm El-Sheikh, Misri.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Bw. Abdallah Mitawi akikabidhi nyaraka mbalimbali kwa wageni waliotembelea banda la maonesho la Tanzania katika Mkutano wa 27 wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unaoendelea Sharm El-Sheikh, Misri.

Post a Comment

0 Comments